mtotoNi mtoto wa KIUME pekee ndio ambae humpa muwakosura ya furahakunawiri kwa uso wa mama mjamzito. Mtoto wa kike humchosha sura mama yake muda wote.Kila mtoto amefungika na ‘Aqiyqah yake, itachinjwa kwa ajili yake siku ya saba na atapewa jina, na atanyolewa kichwa chake (Ahmad na An-Nasaaiy). Kwa ajili ya shughuli hiyo ni lazima